: :inin Kyiv (EET)

Makosa makubwa ya Obama yatajwa


Tangu utawala wa Rais Franklin Delano Roosevelt, marais wa Marekani wamekuwa wakipimwa kufuatia mafanikio wanayokuwa wameyafikia katika kipindi cha siku 100 za kwanza za urais wao.
Lakini sasa, Rais Barack Obama akiwa katika maandalizi ya kumaliza muda wake wa utawala, Mtandao wa ‘Yahoo’, umetoa taarifa zinazoakisi utawala wa rais huyo kwa kutazama mafanikio na magumu aliyopitia.
Kimsingi rais huyu ataondoka madarakani katikati mwa mwezi Januari mwakani lakini ifahamike kwamba, kuwa Rais wa Marekani kunatoa fursa na madaraka makubwa kwa rais wa nchi hiyo.
Kuna kipindi kingine madaraka hayo hutoa mwanya wa kufanya makosa makubwa. Kwa kiongozi mwenye nafasi hiyo kitendo cha kufanya …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions