: :inin Kyiv (EET)

MADRID YATWAA UBINGWA UEFA KWA MARA YA TATU MFULULIZO


KIEV, Ukraine |

REAL Madrid wamefanikiwa kutwaa taji la ubingwa wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya 13 baada ya kuibamiza Liverpool mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa jana mjini Kiev, Ukraine.
Straika wa Madrid, Gareth Bale, aliyeingia kipindi cha pili ndiye aliyeibuka nyota wa mchezo baada ya kutupia nyavuni mabao mawili mazuri, huku Mfaransa Karim Benzema akifunga moja, kuihakikishia timu yao taji la tatu mfululizo.
Katika mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Olympic, Liverpool ilionekana kuanza vizuri, huku mabeki wake Virgil van …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!