: :inin Kyiv (EET)

Hapa kweli club hizi zilikula hasara ya pesa ndefu


Sio mara zote Ulaya wakifanua usajili unakuwa sahihi.Siku moja Pep Gurdiola alisema kitu kuhusu mshambuliaji wake mpta Gabriel Jesus Gurdiola alisema kumnunua Jesus ilikuwa kama tikiti maji hakuwa na uhakika na utamu wake hadi alipoliona ndani.Leo tujaribu kuona matikiti ambayo ndani ni mabaya,hii ni orodha ya baadhi ya sajili mbovu Uingereza.

1.Robinho.

Alisajiliwa kutoka Real Madrid kuja Man City na mbwembwe zikiwa nyingi sana huku yakitarajiwa makubwa kutoka kwa Mbarazil huyu.£32.5m zilimpeleka Robinho Etihad ikiaminika atafanya makubwa,mambo yalikuwa tofauti na ilivyotarajiwa kwake.Alipofunga goli la faulu dhidi ya Chelsea watu walianza kuona ubora wake lakini majeraha yalianza kumuandama.Man City waliamua kumpeleka kwa mkopo …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!