: :inin Kyiv (EET)

WLADIMIR: KUSIPOTOKEA MSIBA KWA AJ BASI ATALAZWA MAHUTUTI


LONDON, England
BONDIA Wladimir Klitschko amezungumzia pambano lake dhidi ya Anthony Joshua ‘AJ’ na kumpiga mkwara kwamba kwao kutatokea msiba ama atalazwa hospitali kwa kipigo atakachomtembezea.
Bingwa wa mkanda wa IBF, AJ atazipiga na Klitschko, Aprili 29, mwaka huu, ambapo pamoja na mkanda huo, mkanda mwingine utakaogombewa na mabondia hao ni ule wa WBA, ambao uliachwa wazi na Tyson Furry, aliyeahirisha kurudiana na Klitschko, baada ya kumchapa mjini Dusseldorf, Ujerumani.
Mcheza masumbwi huyo wa Ukraine anataka kuwa bingwa wa dunia kwa mara ya tatu na kuwa mkongwe wa pili kuvaa mkanda huo tangu bondia mwenye umri wa miaka 45, George Foreman kutwaa mkanda …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions