: :inin Kyiv (EET)

VIDEO: Rekodi 5 zilizowekwa baada ya ushindi wa England vs Scotland


Kocha wa England Gareth Southgate baada ya kupewa mkataba wa kudumu kama kukinoa kikosi cha Simba watatu, usiku wa November 11 alikongoza kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Scotland katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia 2018.
Daniel Sturridge alianza kuipatia bao England dakika ya 24 akiitendea haki krosi ya Kyle Walker kabla ya mchezaji mwenzake wa Liverpool Adam Lallana kupachika bao la pili dakika tano baadaye.
Bao la Gary Cahill dakika ya 61 liliihakikishia ushindi England na kujiweka katika nafasi nzuri ya kuvuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi.
Ushindi huo umeiweka England kwenye nafasi …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions