: :inin Kyiv (EET)

Unamkumbuka Colina? Ndiye atakayechagua Mwamuzi wa Finali ya UEFA pale Kiev.


UNAMKUMBUKA yule mwamuzi wa Italia mwenye upara, Pierluigi Collina? Sasa ameachana na filimbi na ndiye amekuwa bosi wa waamuzi wa Uefa. Na yeye ndiye ambaye atampanga mwamuzi wa pambano la fainali kati ya Liverpool na Real Madrid pale Kiev.Collina ndiye Mkuu wa Kamati ya Waamuzi ya Uefa na amekuwa akichunguza kila mechi kupitia kwa watu wake wa karibu na tayari anajua kwamba kumekuwa na utata mwingi katika mechi za Ligi ya mabingwa hivi karibuni.Tayari homa ya pambano hilo litakalopigwa Mei 26 imezidi kupanda kutokana na timu zitakazocheza fainali hizo kuwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka katika pande nyingi …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions