: :inin Kyiv (EET)

UKISTAAJABU YA FURY UTAYAONA YA CHEKA


Na MARTIN MAZUGWA
OKTOBA 29, 2016, macho na masikio ya wapenzi wa mchezo wa masumbwi yalikuwa yakisubiri kwa hamu kushuhudia pambano kali na la aina yake baina ya mabingwa wawili wa uzito wa juu duniani, Mwingereza Tyson Fury dhidi ya raia wa Ukraine, Wladimir Klitchko.
Wawili hao walitarajiwa kupanda ulingoni kuwania mikanda ya WBA pamoja na WBO, pambano ambalo lilipangwa kufanyika katika Ukumbi wa Manchester Arena, uliopo katika Jiji la Manchester, nchini England.
Pambano hilo lilikuwa la marudiano la kisasi, ambapo Wladimir ambaye ni mshindi wa medali tatu za dhahabu za mashindano ya Olimpiki pamoja na mikanda mitatu ya …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions