: :inin Kyiv (EET)

UJERUMANI YAANZA KWA USHINDI NA KUENDELEZA REKODI YA KIBABE ULAYA


Mabingwa wa dunia timu ya taifa ya Ujerumani wameanza michuano ya Ulaya kwa rekodi kwa kuinyuka Ukraine.
Ukiachilia mbali kiwango cha juu kilichooneshwa na Toni Kroos na goli la mapema la kichwa lililofungwa na Shkodran Mustafi, bado safu yao ya ulinzi ilifanya makosa mara kadhaa.
Jerome Boateng aliokoa mpira kwenye mstari wakati golikipa wa Ujerumani Manuel Neuer akifanya kazi ya ziada kuokoa michomo ya hatari kabla ya kupata bao la pili kwenye dakika za hatari.
Yevhen Konoplyanka alikuwa mwiba kwenye ngome ya Ujerumani lakini hata hivyo juhudi zake za kuitafutia Ukraine bao la kusawazisha ziliota mbawa kufuatia Bastian Schweinsteiger kuingezea Ujerumani bao la …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions