: :inin Kyiv (EET)

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMATANO 18/04/2018


MourinhoMkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anataka kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Fred kutoka klabu ya Shakhtar Donetsk ili kuchukua mahala pake Paul Pogba. Manchester City pia inamnyatia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21.. (Mirror)Real Madrid inataka kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Pogba lakini rais Florentino Perez anasema kuwa hawezi kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 hadi pale atakapopunguza mshahara wake na kuonyesha mchezo mzuri wakati wa kombe la dunia nchini Urusi. (Express)Manchester City Inalenga kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa na PSG Kyllian Mbappe, 19, na kiungo wa kati wa Bayern Munich na Uhispania Thiago Alcantara …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions