: :inin Kyiv (EET)

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMANNE 17/4/2018


Kiungo wa kati wa Barcelona Andres Iniesta, 33, ataeleka katika klabu ya China mwisho wa msimu huu huku chupa bilioni mbili za mvinyo zikiorodheshwa katika makubaliano hayo.. (Marca – in Spanish)Liverpool haina fursa ya kumsajili kipa wa Roma na Brazil Alisson, 25, mwisho wa msimu huu kulingana na rais wa klabu hiyo James Pallotta. (Sky Sports)Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho yuko tayari kumwacha kiungo wa kati aliyenunuliwa kwa kitita cha £89m Paul Pogba, 25, kuondoka klabu hiyo pamoja na mshambuliaji Anthony Martial, 22, beki wa Uholanzi Daley Blind, 28, huku beki wa Itali Matteo Darmian akitarajiwa kuuzwa. (Mail)Darmian, 28, …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions