: :inin Kyiv (EET)

Takwimu za mabao, idadi ya watazamaji Euro 2016


MWANDISHI WETU NA MITANDAO,
USIKU wa Juni 27 ulikuwa ni usiku mgumu zaidi kwa vituo vya runinga nchini Iceland vilivyokuwa havioneshi mchezo baina ya timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo dhidi ya England katika hatua ya 16 bora Euro, kwani ni watazamaji wachache mno waliofungulia vituo vyao hivyo na kuvitazama.
Jumla ya mashabiki 150,000 wa Iceland waliutazama mchezo huo kupitia runinga zao na hakuna kitu kingine kilichotazamwa na wengi kama mtanange huo wa kihistoria.
Ni mashabiki 298 tu ndio waliokuwa wakitazama vituo ambavyo havikuonesha mchezo huo siku hiyo na hilo linadhihirisha namna mchezo wa soka ulivyo na nguvu ya kuliunganisha taifa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions