: :inin Kyiv (EET)

SAMATTA ATUA ANGA ZA MAN UNITED


NA MWANDISHI WETU
MWANASOKA wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, hatimaye ametinga anga za Manchester United ya England, baada ya timu yake ya Genk ya Ubelgiji kufanikiwa kutinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Europa na hivyo kuwa na uwezekano wa kukutana na wababe hao wanaonolewa na kocha Mreno, Jose Mourinho.
Man United ilifanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuichapa Zorya Luhansk ya Ukraine mabao 2-0 na hivyo kujihakikishia nafasi katika hatua hiyo inayofuata.
Kwa upande wao pamoja na mechi yao dhidi ya Sassuolo kuahirishwa kutokana na uwanja kufunikwa wingu nene, Genk wameshafuzu mtoano na kwamba mchezo baina ya wapinzani wao hao uliopangwa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!