: :inin Kyiv (EET)

Refa huyu ndiye Atakayechezesha Mchezo wa Fianali UEFA Kati ya Madrid na Liverpool


Mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani kwa sasa ni fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ambayo itawakutanisha Real Madrid na Liverpool Jumamosi ya Mei 26 mwaka huu.Tayari kamati ya waamuzi ya UEFA imemchagua mwamuzi wa kati ambaye anachezesha mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa NSC Olimpiyskiy, Kyiv kwa kusimamia sheria 17 za soka.Kamati hiyo imemteua Milorad Mažić kutoka nchini Serbia kuchezesha fainali hiyo ambayo inataajiwa kuwa na upinzani mkubwa kwa timu zote mbili.Mažić, 45, amekuwa mwamuzi wa kimataifa tangu 2009 na amewahi kuchezsha fainali kadhaa ikiwemo ile ya mabara mwaka jana iliyowakutanisha Chile and Germany, …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions