: :inin Kyiv (EET)

Putin aishutumu serikali ya Ukraine ya “kuchagua vita”


Rais wa Russia, Vladimir Putin ameituhumu Ukraine kwa kuchagua ugaidi badala ya amani baada ya kile alichokiita mashambulizi dhidi ya Crimea ambayo yalipangwa na wanajeshi wa maafisa wa ujasusi wa Ukraine.

Putin alisema siku ya Jumatano mjini Moscow kwamba jaribio la uchokozi wa kutaka vita ni juhudi ya kuutaka umma uangazie swala Fulani badala ya lingine.

Putin alisema serikali yake itafanya kila iwezalo kuhakikisha kwamba kuna usalama na utaongeza juhudi Zaidi za kuimarisha usalama… …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions