: :inin Kyiv (EET)

PSG VS MAN CITY: PSG WATAENDELEZA UBABE KWA VILABU VYA EPL?


Vilabu tajiri zaidi duniani vinakutana leo usiku kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya klabu bingwa barani Ulaya, kitu cha kuvutia ni kwamba vilabu vyote hivi vinahitaji kufuzu ili kuingia hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo.
PSG itakuwa mwenyeji wa Manchester City kwenye uwanja wa Parc des Princes huku wakiwa na uchu wa kuitungua klabu nyingine kuoka England na kuitupa nje ya mashindano ya Ulaya baada ya kuifanyia hivyo klabu ya Chelsea kwenye round iliyopita.
City wao waliitupa nje ya mashindano klabu ya Dynamo Kiev kwenye hatua ya 16 cha kupanda na kushuka tangu Pep Guardiola alipotangazwa kukiongoza kikosi hicho …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!