: :inin Kyiv (EET)

Picha: Real Madrid walivyosherehekea ubingwa wao wa UEFA Champions League ndani ya jiji la Madrid.


Maelfu ya mashabiki wa miamba wa Uhispania Real Madrid walijitokeza katika barabara za jiji kuu la Uhispania Madrid kuwapokea wachezaji wa klabu hiyo waliporejea kutoka Kiev Jumapili.Madrid walishinda Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa mara ya tatu mtawalia baada ya kuwalaza Liverpool ya Uingereza 3-1 katika mechi iliyokumbwa na utata kutokana na kuumizwa kwa nyota ya Misri anayechezea Misri Mohamed Salah.Fainali hiyo ilitawaliwa na machozi, makosa na bao la kipekee kutoka kwa mshambuliaji wa Wales Gareth Bale.Jumapili jijini Madrid, mashabiki wa Real walishangilia na kupeperusha hewani skavu zenye rangi na nembo za klabu hiyo na ujumbe wa kuisifu klabu hiyo …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!