: :inin Kyiv (EET)

NUSU FAINALI UEFA… HISTORIA YAIBEBA JUVE KWA MONACO


MONACO, Ufaransa
UKIZUBAA tu umeliwa. Nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kati ya miamba miwili ya jiji la Madrid, timu za Atletico na Real Madrid ilitarajiwa kupigwa jana usiku, ili kuianza safari ya kuelekea kwenye hatua ya fainali.
Na leo usiku, kivumbi kingine kinatarajiwa kutimka pale katika dimba la Stade Louis II, jijini Monaco, Ufaransa, wakati miamba mingine miwili, Monaco na Juventus itakapotoana jasho.
Wakati mechi hiyo ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka, historia inaibeba zaidi Juventus kuweza kuibuka na ushindi na hatimaye kutinga fainali.
Miamba hiyo ya Italia imeweza kuibuka na ushindi mara mbili …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!