: :inin Kyiv (EET)

NETANYAHU AFUTA SAFARI YA KIONGOZI WA UKRAINE


WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu
TEL AVIV, ISRAEL
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amefuta ziara ya mwenzake wa Ukraine baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kupiga kura kuamua ujenzi wa makazi ya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi usitishwe.
Waziri Mkuu wa Ukraine, Volodymyr Groysman, alikuwa akitarajiwa kuitembelea Israel keshokutwa, lakini Netanyahu ameamrisha safari hiyo ifutwe baada ya Ukraine kuunga mkono kura hiyo.
Umoja wa Mataifa ulipiga kura kuitaka Israel kusitisha ujenzi huo kwa kura 14.
Marekani, ambaye ni mshirika wa karibu wa Israel haikupiga kura wala kulipinga azimio hilo kwa kura yake ya turufu na hivyo kusaidia …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!