: :inin Kyiv (EET)

NANI KUNUNUA NAMBA 45 MSIMU WA USAJILI MAJIRA YA KIANGAZI


Na Athumani Adam
Mwanafalsafa wa lugha ya kiingereza, William Shakespear aliwahi kusema “we know where we are, but know not where we may be”. Shakespear alimaanisha kwamba “tunajua tulipo sasa lakini hatujui wapi tutakuwepo”.
Ligi nyingi za mataifa makubwa barani Ulaya zipo ukingoni msimu wa 2015/16, kabla ya kumalizika miezi miwili ijayo, wapo wachezaji watakaoenda Euro 2016 kule nchini Ufaransa kuwakilisha mataifa yao. Pia wale ambao mataifa yao hayajafuzu Euro pamoja na wale wachezaji wa mabara mengine watakuwa sehemu mbali mbali kwa mapumziko baada ya msimu.
Kama alivyosema Shakespear hatujui wapi tutakuwepo baadaye, kauli hii inawagusa baadhi ya wachezaji ambao hawana uhakika wa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions