: :inin Kyiv (EET)

Mohamed Salah: Nina ‘matumaini makubwa’ ya kucheza Kombe la Dunia Urusi 2018


Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha ya bega kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid.
Salah, 25, aliondoka uwanjani mjini Kiev akiwa analia baada ya kuchezewa rafu na mlinzi wa Real Madrid Sergio Ramos.
”Upendo wenu na kuniunga mkono kwa pamoja vitanipa nguvu ninayoihitaji,” alisema Salah.
Misri itacheza mchezo wake wa kwanza June 15 dhidi ya Uruguay katika mji wa Yekaterinburg.
Baada ya mchezo wa mjini Kiev, meneja wa Liverpool Jurgen Klopp alisema maumivu aliyoyapata Salah ni makubwa sana.
Lakini chama cha soka …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!