: :inin Kyiv (EET)

Michezo ya kufuzu fainali za kombe la dunia imeendelea leo


Mitanange ya kufudhu fainali za kombe la dunia zitakazopigwa mwakani nchini Urusi zimeendelea hii leo huku mitanange mbali mbali ikipigwa kila kona ya dunia.
Mchezo uliokuwa ukiangaliwa na wengi ilikuwa kati ya Hispania na Italia mchezo ambao uliisha kwa Hispania kuibuka kidedea kwa ushindi wa mabao 3 kwa nunge, Isco alifunga mabao mawili ya mwanzo huku Alvaro Morata akifunga la tatu.
Ukraine walimfunga Turkey bao 2 kwa 0, huku mabao ya Ukraine yakiwekwa kimiani na Andriy Yarmalrnko aliyefunga yote mawili huku Finland wakiichapa Iceland bao 1 kwa 0 bao likifungwa na Alexandre Ring.
Barani Africa timu ya taifa ya Algeria ilikubali kipigo cha …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!