: :inin Kyiv (EET)

MAN UNITED MJUENI MHIKITARYAN, MCHEZAJI ATAKAYEBADILISHA MASHAMBULIZI YENU


Kwa habari zilizojitokeza hivi karibuni kwenye mtandao wa Borrusia Dortmund ni kwamba klabu hiyo imekubali dau la Man Utd kwa ajili ya mchezaji wao Henrikh Mkhitaryan na atajiunga na klabu hiyo msimu ujao.Japo Man United wao hawajatangaza rasmi usajili huu ila inaonekana kuwa Mourinho hatimaye kampata mchezaji huyu baada ya kutumu dau jipya la Euro million 30, kwani dau lao la kwanza lilikataliwa. Mkataba wa Mkhitaryan ulikuwa unategemea kuisha msimu ujao na Dortmund hawakuwa na budi kumuuza kwa sababu wangempoteza bure msimu ujao.

Mchezaji huyu wa ki Armenia mwenye miaka 27 anaweza kufanya kila kitu kule mbele akitumiwa vizuri na klabu …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions