: :inin Kyiv (EET)

MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA NA KUWEKA REKODI


Manchester City wamefanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Champions League kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sulusu kwenye mchezo wao wa marudiano dhidi ya Dynamo Kiev jana usiku.
City ilishinda kwa bao 3-1 kwenye mchezo wa awali, walianza vyema mchezo huo lakini wakajikuta wakiwakosa walinzi wao nguzo wa kati Vincent Kompany na Nicolas Otamendi dakika za mapema baada ya kuanza kwa mchezo huo kutokana na kupata majeraha na kushindwa kuendelea na mchezo.
Hadi kipindi cha kwanza inamalizika hakuna timu ambayo ilikuwa imepiga hata shuti moja on target. Jesus Navas alipiga shuti ambalo liligonga mwamba wakati shuti la …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions