: :inin Kyiv (EET)

MAMILIONI YA WACHINA YANAVYOWATEGA KINA ROONEY, DIEGO COSTA


LONDON, ENGLAND
UNAWEZA kusema Wachina wameleta mambo. Unajua kwanini? Kwa miaka ya hivi karibuni ligi kuu ya soka nchini China imekuwa gumzo.
Ligi hiyo imekuwa gumzo kutokana na fedha nyingi zinazotumika kujenga timu zao. Zamani tulikuwa tukiona wachezaji wanaokwenda kucheza soka nchini China ni wale waliochoka lakini siku za karibuni mambo yamebadilika.
Wachina wamekuwa wakichukua mchezaji yeyote wanayemtaka kwa fedha kubwa mno. Hali hii imepelekea wachezaji wengi Ulaya kuanza kuzitolea mate fedha za China.
Matumizi makubwa ya fedha katika soka lao yameleta majina makubwa katika mpira wao. Si ajabu kuona majina ya Manuel Pellegrini, Andre Villas Boas wachezaji kama Gervinho, Hulk, Gyan …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions