: :inin Kyiv (EET)

Madrid, Atletico, Villareal na Sevilla kuweka rekodi ya kucheza fainali zote za ulaya msimu huu?


Ubora wa ligi kuu ya Hispania umekuwa unathibitishwa na uwezo unaoneshwa na vilabu vya Real Madrid, Atletico Madrid, Villarreal na Sevilla katika michuano ya bara la ulaya – Champions League na Europa League wiki iliyopita.
Sare ya 0-0 ya Manchester City dhidi ya Los Blancos yanawapa nafasi zaidi vijana wa Zinedine Zidane katika mchezo wa pili wa marudiano utakaofanyika wiki hii kuelekea fainali ya Champions League mnamo May 28. Lakini mambo yanaweza kuwa magumu zaidi kwa upande wa Atletico Madrid ambao watasafiri mpaka Allianz Arena kucheza vs Bayern Munich. Pamoja na kwamba wanaenda Ujerumani na ushindi wa 1-0 shukrani kwa goli …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions