: :inin Kyiv (EET)

Kuna mashaka ya kulikosa pambano la AJ na Klitschko


LONDON, England
LILE pambano lililotangazwa kufanyika kati ya bondia Anthony Joshua ‘AJ’ na Wladimir Klitschko, lipo kwenye hatari ya kutofanyika kama ilivyotajwa Desemba mwaka huu kutokana na makubaliano kutofikiwa kwenye mazungumzo.
Kila kitu kilionekana kwenda sawa mara baada ya Tyson Fury kuachia mikanda yake ya WBO na WBA wiki iliyopita, ili kupisha pambano hilo la Desemba 10 mwaka huu kwenye ulingo wa Manchester Arena.
Lengo la pambano hilo lilikuwa ni kwa ajili ya kuwania mkanda wa IBF wa Joshua na mkanda wa mwingine ulio wazi wa WBA, wakati huo huo ikidaiwa kwamba Klitschko anataka kila pambano lake liwe ni kwa ajili ya kuwania …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions