: :inin Kyiv (EET)

Kashfa ya Panama yamtesa Cameron


NA MWANDISHI WETU
KASHFA kubwa ya ukwepaji kodi iliyoibuliwa hivi karibuni ikifahamika zaidi kama ‘Panama Papers’ ambayo inawagusa baadhi ya viongozi na wafanyabiashara wa mataifa makubwa na madogo duniani imeanza kumtesa Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron.
Taarifa za nyaraka hizo za siri zilivuja kutoka katika chanzo kisichojulikana mwishoni mwa wiki na kunaswa na Jopo la Kimataifa la Wanahabari Wapekuzi (ICIJ) ambao walianza kusambaza katika vyombo mbalimbali vya habari duniani kote kwa kutumwa kwa waandishi wa habari 370 na vyumba vya habari 107.
Kashfa hiyo imewagusa marais na viongozi wakuu wengi walioko madarakani kwa sasa akiwemo Rais Vladimir Putin wa Urusi na Rais …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions