: :inin Kyiv (EET)

Joshua vs Klitschko: Pambano tajiri zaidi kuwahi kutokea UK


Jumamosi hii dunia ya masumbwi itasimama kwa muda kuangalia pambano la uzito wa juu kati ya Bondia kinda wa kiiingereza Anthony Joshua dhidi ya mbabe wa Ukraine Vladimir Klitschko.Pambano hili linategemea kuweka rekodi ya kuwa pambano litakaloingiza hela nyingi zaidi katika historia nchini Uingereza – inategemea litatengeneza angalau £50m
Mabondia wakitegemea kupata mpaka kiasi cha £15m kwa kila mmoja.
Mchanganuo wa mapato ya pambano hili upo hivi.
*Pambano hili linategemewa kuangaliwa na watu wapatao 1.5m wakiwa majumbani, ambao watalipia kiasi cha £19.9 kila mmoja = £30m
*Uwanja wa Wembley unaoingiza watu 90,000, ambao watalipia tiketi zinazoanzia £60m mpaka £2,200, unategemea kutengeneza kiasi cha …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions