: :inin Kyiv (EET)

JOSHUA VS KLITSCHKO… PAMBANO LA MFUKO WA FEDHA


LONDON, England
MABONDIA Anthony Joshua ‘AJ’ na Wladimir Klitschko, watavaana Jumamosi usiku kwenye pambano la aina yake na la kuvutia.
Mashabiki 90,000 wanatarajiwa kushuhudia pambano hilo kwenye Uwanja wa Wembley, huku wengine wakishuhudia nyumbani kwa matangazo ya televisheni ya moja kwa moja.
Lakini ni kiasi gani mabondia hao watalipwa kila mmoja? Ni tuzo gani watarudi nayo nyumbani baada ya pambano hilo.
Klitschko
Klitschko hajawahi kusumbuliwa na bondia wa kawaida kabla ya Tyson Fury kumharibia Klitschko, ambaye alionekana kutokuwa na kasi na kumvunjia rekodi yake ya miaka 11 ya kushinda kwenye mapambano yake.
Sasa Klitschko atakumbana na Joshua akiwa na umri wa miaka 41, huku mwenyewe akijitamba …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!