: :inin Kyiv (EET)

JINSI MADRID ILIVYOIBEBA MAN UNITED HADI KUPENYA KWENYE MAKUNDI UEFA


LONDON, England
KAMA ulikuwa unafikiri ubingwa wa Uropa ni faida kwa Manchester United pekee, basi ni vyema ukaanza kufikiria upya. Ukweli ni kwamba, kombe lile ni faida kwa England nzima.
Kwanini? Sasa England watakuwa na wawakilishi watano katika Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Chelsea, Manchester City, Tottenham, Liverpool na Man United.
Kinachosubiriwa sasa ni kuona makundi yatakavyokuwa, nani atapangwa na nani. Lakini unajua kitendo cha United kubeba Uropa, kimewapa wakati mgumu kidogo Tottenham? Majibu yako hapa.
Tumeshazifahamu timu FA Cup,Tomorrow, 19:30pm
Chelsea v Arsenal
£10 Free Bet, No Deposit Needed
tano za Premier League zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao, Chelsea, Tottenham, Manchester City, Liverpool na Manchester …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions