: :inin Kyiv (EET)

Je, Madrid Wataweza Kuwazuia Liverpool Na Mo Salah?


Kila mmoja atatarajia mashambulizi makali zaid kutoka Liverpool wakati wa fainali la klabu bingwa Ulaya lakini kile hatufahamu ni jinsi Real Madri itakabiliana na hali hiyo.Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp hana nia ya kubadilsha mbinu za kikosi chake cha 4-3-3 kwenye mechi ya leo Jumamosi na kama kutakuwepo na majeraha inamaanisha kuwa hatakuwa na mbinu tofauti pia wa wachezaji.Kwa upande mwingine meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane ana maauzi makubwa ya kufanya kuhusu ni yupi anayamweka kwenye kikosi cha mechi ya Kiev.Zidane amekuwa na nyakati msimu huu ambapo kikosi chake kimekuwa na wakati mgumu hasa Ulaya lakini licha ya hilo …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!