: :inin Kyiv (EET)

Israel yasitisha kufanya kazi na mataifa yaliyopiga kura dhidi yake


Makazi ya walowezi ya Maale Adumin yanayotazama kijiji cha Wapalestina katika ukanda wa Magharibi.TEL AVIV, ISRAEL

WAZIRI Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa amri kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo kupunguza mahusiano ya kikazi na balozi za wanachama 12 wa Baraza la Usalama ambao walipiga kura kuunga mkono azimio la makazi ya Ukanda wa Magharibu na ambazo zina uhusiano wa kidiplomasia na Israel, maafisa wa ngazi za juu wan chi hiyo wameliambia shirika la habari la CNN.

Maafisa hao walisema kwamba kazi na balozo za mataifa – Uingereza, Ufaransa, Urusi, China, Japan, Ukraine, Angolam Misri, Uruguay, Uhispania, Senegal …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions