: :inin Kyiv (EET)

Historia ya wachezaji ghali zaidi England haitoi matumaini mazuri kwa Pogba


Uhamisho wa Paul Pogba Juventus kwenda Manchester United umevunja rekodi zote za ada za uhamisho wa wachezaji kwenye soka. Lakini kilichotokea huko nyuma wakati vilabu vya Uingereza vinapovunja rekodi za usajili hakitoi matumaini sana.
Hapa tuangalie wachezani sita ambao ada zao za uhamisho zilivunja rekodi lakini mwisho wao ndani ya vilabu vyao haukuwa mzuri. .
Angel Di Maria: Real Madrid – Man United, August 2014
Alisajiliwa kwa ada ya uhamisho wa £59.7 million
Mafanikio? Hakushinda taji lolote
Alikaa kwa muda gani? Msimu mmoja
Alifeli au alifaulu? Alifeli
Di Maria alikuwa mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!