: :inin Kyiv (EET)

GAME YETU NA POLAND ITATOA MWELEKEO WA KUNDI C


Mara baada ya mchezo wa Ujerumani dhidi ya Ukraine, kocha wa Ujerumani Jochim Low amewaambia waandishi wa habari kwamba, haikuwa rahisi kupata ushindi dhidi ya Ukraine yenye safu ngumu ya ulinzi lakini walifanikiwa kufanya hivyo
Low pia ameutaja mchezo wa Alhamisi kati ya Ujerumani dhidi Poland ndiyo utaamua msimamo wa kundi nani anaongoza na nani tafuata. Poland pia wamefanikiwa kushinda mchezo wao dhidi ua Ireland ya Kaskazini uliochezwa mapema.
“Tulitawala lakini haikuwa kazi rahisi dhidi ya Ukraine yenye ukuta mzuri, lakini tulipata njia na mwisho wa siku nimeridhika.”
“Mchezo dhidi ya Poland utaamua huku timu zote zikiwa zimeshinda mechi za awali na matokeo …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions