: :inin Kyiv (EET)

FURY ANAAMINI KLITSCHKO ATAMBWAGA JOSHUA


LONDON, England
BONDIA wa uzito wa juu raia wa Uingereza, Hughie Fury, anaamini kuwa wanamasumbwi kutoka Ukraine, Wladimir Klitschko, atambwaga bondia Mwingereza, Anthony Joshua, katika pambano litakalopigwa Aprili 29, mwaka huu, katika uwanja wa Wembley, mbele ya mashabiki 90000 walioketi.
Klitschko alipoteza mikanda mitatu ya IBF, WBA pamoja na WBO ya uzito wa juu mara baada ya kupigwa na binamu wa Hughie, Tyson Fury Novemba, mwaka jana.
Mbabe huyo wa Ukraine mwenye rekodi ya (64-4, 53 KO), 41, alichanganyikiwa mara baada ya kupoteza mbele ya mbabe huyo ambaye alikuwa akisumbuliwa na msongo wa mawazo kiasi cha kuanza kutumia dawa za kulevya.
Hughie …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions