: :inin Kyiv (EET)

#EURO 2016 MATCH PREVIEW: UFARANSA VS ALBANIA


Didier Deschamps atakuwa kwenye mtihani mwingine leo kuhakikisha timu yake inashinda dhidi ya Albania ili kujihakikishia tiketi ya kwenda hatua ya mtoano. Mchezo huu wa raundi ya pili wa kundi A, utapigwa kunako dimba la Stade Velodrome majira ya saa 4 usiku.
Ufaransa ilishinda kwa mbinde mchezo wake kwanza dhidi ya Romania, shukrani za dhati ziende kwake Dimitri Payet ambaye alifunga goli la ushindi dakika za majeruhi baada ya kuhamishiwa namba 10, kufuatia kutolewa kwa Paul Pogba na nafasi yake kuchukuliwa na Anthony Martial, ambaye alienda pembeni alipokuwa akicheza Payet.
Hakuna matarajio yoyote ya Deschamps kufanya mabadiliko katika kikosi kilichoanza siku ya …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions