: :inin Kyiv (EET)

#EURO 2016: MASHABIKI WA ENGLAND WAHUKUMIWA JELA UFARANSA


Jumla ya mashabiki sita wa wa England wamefungwa kutokana na kuhusika katika vurugu zilizotokea jijini Marseille katika michezo ya awali ya Euro mwaka huu, wote wakifungiwa kwenda Ufaransa kwa miaka miwili.
Watuhumiwa hao ambao wote walifika mahakamani wakati wa kesi hiyo iliyoendeshwa kwa saa tano, wamehukumiwa kifungo cha kati ya mwezi mmoja mpaka mitatu.
Alexander Booth (20) alikuwa ndio kijana mdogo zaidi ambapo amepewa hukumu ya kufungwa miezi miwili wakati Ian Hepworth akihukumiwa kifungo cha miezi mitatu.
Baadaye tena, huku nyingine ilitolewa kwa mashabiki wanne wa England
Ashley Kelly (26) kutoka Birmingham, alihukumiwa kifungo cha miezi mitatu na kupewa katazo la miaka miwili kwenda …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!