: :inin Kyiv (EET)

ENGLAND YAPATA USHINDI WA KWANZA DHIDI YA URENO BAADA YA MIAKA 18 NA KUWEKA REKODI KADHAA


England wamemaliza maandalizi yao kwa ajili ya Euro 2016 kwa ushindi mwembamba dhidi ya kikosi cha wachezaji 10 wa Ureno kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa usiku wa jana kwenye uwanja wa Wembley.

Chris Smalling aliifungia England goli pekee la ushindi akiunganisha kwa kichwa krosi ya Raheem Sterling dakika nne kabla ya pambano kumalizika mchezo ulioshuhudia vijana na Roy Hodgson kuwafunga Ureno waliokuwa pungufu baada ya Bruno Alves kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea vibaya Harry Kane dakika ya 35 kipindi cha kwanza.

Kyle Walker pekee ndiye mchezaji wa England aliyeonesha kiwango cha juu licha ya Sterling kuonesha uwezo wa juu …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions