: :inin Kyiv (EET)

Champions League: Messi, Aguero, Griezmann na Dybala wanaziwinda rekodi hizi ulaya.


Usiku wa michuano ya UEFA Champions League unarejea tena leo usiku na kesho jumatano, katika kukamilisha ratiba ya raundi ya 16 bora na kuamua ni timu zipi zitaungana na Real Madrid, Benfica, PSG na Wolfsburg katika hatua ya robo fainali ya UCL.

Je Lionel Messi atafanikiwa kuifunga Arsenal na kuweka rekodi mpya ya magoli tangu alipoanza kucheza soka la ushindani? Antoine Griezmann atafanikiwa kuifungia Atletico goli la 5 mfululizo? Je Paulo Dybala ataweza kuikoa Juve?
Je Griezmann ataifungia Atletico goli 5 mfululizo?
“Nacheza nikiwa na uhuru mkubwa sana, matumaini yangu nitaendelea kucheza kwa mafanikio hivi,” alisema mshambuliaji …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions