: :inin Kyiv (EET)

BELLERIN ANASTAHILI PONGEZI KWA KUFANIKIWA KUINGIA KIKOSI CHA SPAIN


Naseem Kajuna
Juni 13 inaweza kuwa siku kubwa sana kwa kijana Hector Bellerin, siku hii Spain watacheza dhidi ya Czech Republic kwenye michuano ya Euro 2016, na inawezekana kwamba jina la Bellerin linaweza kuwa mojawapo litakaloandikwa kwenye kikosi cha Spain kitakachocheza mechi hii uwanjani Stadium de Toulouse.
Kama maajabu vile siku inayofuata itatimiza miaka 10 tangia kinda mwingine wa Arsenal wa zamani Cesc Fabregas kuwa mchezaji mdogo zaidi kucheza mechi ya Kombe la dunia pale alipoingia dimbani dhidi ya Ukraine akiwa na miaka 19 tu.
Hiki ni kitu cha ajabu sana ukifikiria kwani japo Bellerin amezidi umri wa Fabregas yule wa 2006 kwa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions