: :inin Kyiv (EET)

BALOTELLI, SHETANI WA LIVERPOOL, MALAIKA WA NICE


NA HALID MTUMBUKA
Palermo ni moja kati ya sehemu zinazovutia mboni za macho ya mwanadamu yeyote yule anayependa utalii. Sehemu hii ipo nchini Italia na sifa zake ni pamoja na utamaduni wake, majengo yake, sehemu za starehe na inatajwa kwamba sanaa kama muziki ni moja kati ya viburudisho vya watu waishio sehemu hiyo.
Ni moja kati ya sehemu zinazovutia sana katika nchi ya Italia, hii ndiyo sehemu aliyozaliwa nyota mwenye sura ya kishetani na kimalaika ndani na nje ya uwanja, Mario Balotelli, na hii ilikuwa ni mwaka 1990.
Miguu yake haitofautiani sana na miguu ya Edson Cavani, tofauti yake na wengine ni kwamba …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions