: :inin Kyiv (EET)

Baada ya ushindi vs Klitschko, Antony Joshua ameomba pambano lingine


Saa chache tu zimepita tangu kumalizika kwa pambano la ndondi ambapo bondia wa Uingereza Anthony Joshua ameshinda kwa KO vs Klitschko, sasa ametaka pambano dhidi ya bingwa wa zamani wa uzito wa juu Tyson Fury. Katika interview baada ya pambano vs Wladimir Klitschko wa Ukraine lililopigwa Wembley Stadium, London na kushinda kwa KO round ya 11, […]
The post Baada ya ushindi vs Klitschko, Antony Joshua ameomba pambano lingine appeared first on millardayo.com. …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!