: :inin Kyiv (EET)

A.J VS KLITSCHKO LITAKUWA PAMBANO LA KITAJIRI ENGLAND


LONDON, England
PAMBANO la milioni 42 kati ya Anthony Joshua na Wladimir Klitschko, litakuwa la kitajiri kuwahi kutokea England.
Bingwa huyo wa mkanda wa IBF atakumbana na bondia wa Ukraine, mwenye umri wa miaka 40, huku mkanda uliowazi wa WBA nao utawaniwa kwenye pambano hilo linanalotarajiwa kufanyika Aprili 29, mwakani katika Uwanja wa Wembley.
Pambano hilo linatarajiwa kuvunja rekodi ya pauni milioni 22 iliyowekwa na bondia Carl Froch na George Groves, mwaka 2014.
Joshua, mwenye umri wa miaka 27, anatarajiwa kulipwa zaidi ya kile alichokuwa akilipwa kabla kwa ajili ya kutetea taji lake la IBF kwa mara ya tatu, baada ya kumdunda Eric Molina …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

World press about Ukraine

The category “World Press” is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about “World Press” category you can read here

World press category: terms & conditions

Pin It on Pinterest

Share This

Share this post with your friends!