: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Elimu ya kweli, kujielewa, kuielewa jamii, kuujua ulimwengu
  Apr28

  Elimu ya kweli, kujielewa, kuielewa jamii, kuujua ulimwengu

  HAKUNA jambo la maana la kumpa mwanao kama elimu. Bila shaka hili ninalolisema halina ubishi, hata kwa kuangalia wazazi waliopata mwanga kidogo kuhusu elimu wanavyohaha na watoto katika jitihada za kuwapatia wana wao elimu iliyo bora kabisa ndani ya uwezo wao. Ni kweli kwamba sote tunahangaika ili watoto wetu wapate kile kilicho bora katika...

  Joshua vs Klitschko: Pambano tajiri zaidi kuwahi kutokea UK
  Apr27

  Joshua vs Klitschko: Pambano tajiri zaidi kuwahi kutokea UK

  Jumamosi hii dunia ya masumbwi itasimama kwa muda kuangalia pambano la uzito wa juu kati ya Bondia kinda wa kiiingereza Anthony Joshua dhidi ya mbabe wa Ukraine Vladimir Klitschko.Pambano hili linategemea kuweka rekodi ya kuwa pambano litakaloingiza hela nyingi zaidi katika historia nchini Uingereza – inategemea litatengeneza angalau £50m...

  Ukraine, Belarus leaders mark Chernobyl anniversary
  Apr27

  Ukraine, Belarus leaders mark Chernobyl anniversary

  The leaders of Ukraine and Belarus have toured the site of the 1986 Chernobyl nuclear accident, marking the 31st anniversary of the disaster. Debate continues over the death toll from radiation poisoning in the region. …read more Source:...

  EU stands firms on Crimea sanctions against Russia
  Apr24

  EU stands firms on Crimea sanctions against Russia

  The EU’s top diplomat, Federica Mogherini, has told Russia that while the bloc wants closer ties with Moscow, there are undeniable problems. The Russian foreign minister seems to feel the same way. …read more Source:...

  Good news mtanzania mwingine anayekwenda kucheza soka Ulaya (+Audio)
  Apr21

  Good news mtanzania mwingine anayekwenda kucheza soka Ulaya (+Audio)

  Kama unapenda soka la bongo muda wowote kutokea sasa tegemea kusikia good news kutoka kwa mtanzania Hamisi Mroki anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Kabin United ya daraja la pili Thailand. Baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu mitatu Hamisi amefanikiwa kumaliza mkataba wake na kupata timu mpya ya daraja la kwanza nchini Ukraine, […]...

  Ukraine arrests two on corruption allegations
  Apr21

  Ukraine arrests two on corruption allegations

  Ukraine has detained a prominent energy executive and a former MP on graft allegations. Strengthening anti-graft measures is a key demand of the IMF and Western governments. …read more Source:...

  JOSHUA VS KLITSCHKO… PAMBANO LA MFUKO WA FEDHA
  Apr21

  JOSHUA VS KLITSCHKO… PAMBANO LA MFUKO WA FEDHA

  LONDON, England MABONDIA Anthony Joshua ‘AJ’ na Wladimir Klitschko, watavaana Jumamosi usiku kwenye pambano la aina yake na la kuvutia. Mashabiki 90,000 wanatarajiwa kushuhudia pambano hilo kwenye Uwanja wa Wembley, huku wengine wakishuhudia nyumbani kwa matangazo ya televisheni ya moja kwa moja. Lakini ni kiasi gani mabondia hao watalipwa...

  UN court rejects Ukraine bid to block funding for pro-Russian rebels
  Apr20

  UN court rejects Ukraine bid to block funding for pro-Russian rebels

  A request by Kyiv for emergency measures against pro-Russia rebels in eastern Ukraine has been rejected by the International Court of Justice. The court did, however, warn Moscow to protect ethnic rights in Crimea. …read more Source:...

  UN’s top court to rule in Ukraine vs Russia case
  Apr19

  UN’s top court to rule in Ukraine vs Russia case

  The UN’s top court will Wednesday rule on a bid by Kiev to halt Russia’s alleged funnelling of money, arms, and personnel into Ukraine’s war-torn east, a key moment in the three-year crisis. …read more Source:...

  Marekani yapeleka ndege za F-35 Uingereza
  Apr17

  Marekani yapeleka ndege za F-35 Uingereza

  (CNN) NDEGE mpya na za kisasa za Jeshi la Anga la Marekani zimewasili nchini Uingereza mwisho wa wiki hii kama sehemu ya kutoa hakikisho kwa washirika wa barani Ulaya, katika wakati ambao Urusi imekuwa ikitunisha misuli barani humo. Ndege za F-35A kutoka katika kambi ya jeshi la anga ya Hill huko Utah nchini Marekani zilitua katika uwanja wa...

  Pin It on Pinterest