: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  NANI KUNUNUA NAMBA 45 MSIMU WA USAJILI MAJIRA YA KIANGAZI
  Mar27

  NANI KUNUNUA NAMBA 45 MSIMU WA USAJILI MAJIRA YA KIANGAZI

  Na Athumani Adam Mwanafalsafa wa lugha ya kiingereza, William Shakespear aliwahi kusema “we know where we are, but know not where we may be”. Shakespear alimaanisha kwamba “tunajua tulipo sasa lakini hatujui wapi tutakuwepo”. Ligi nyingi za mataifa makubwa barani Ulaya zipo ukingoni msimu wa 2015/16, kabla ya kumalizika miezi miwili ijayo, wapo...

  Rubani wa Ukraine jela miaka 22 Urusi
  Mar22

  Rubani wa Ukraine jela miaka 22 Urusi

  Rubani kutoka Ukraine anayetuhumiwa kwa mauaji ya wanahabari 2 kutoka Urusi amehukumiwa kifungo cha miaka 22 gerezani nchini Urusi …read more Source:...

  Russian court sentences Ukrainian pilot Nadezhda Savchenko to 22 years for murder
  Mar22

  Russian court sentences Ukrainian pilot Nadezhda Savchenko to 22 years for murder

  The Ukrainian pilot received her sentence a day after being found guilty by a Russian court over the killing of two journalists. Savchenko has been at the center of the conflict between Kiev and pro-Moscow separatists. …read more Source:...

  MANCHESTER CITY VS MANCHESTER UNITED: MATCH PREVIEW
  Mar20

  MANCHESTER CITY VS MANCHESTER UNITED: MATCH PREVIEW

  Huu ni moja ya michezo migumu katika Ligi Kuu England ukiwakutanisha mahasimu wawili wa jiji la Manchester, yaani Manchester City na Manchester United, huku timu zote mbili zikihitaji ushindi kwa hali na mali ili kuweza ama kujiweka katika mazingira ya mazuri ya kushiriki UEFA mwakani au kuchukua ubingwa kama itawezekana. Manchester City...

  Two years after Crimea annexation, NATO chief urges continued sanctions on Russia
  Mar18

  Two years after Crimea annexation, NATO chief urges continued sanctions on Russia

  NATO’s head has called for Washington and Brussels to continue sanctioning Russia in a bid to end conflict in Ukraine. His comments come as the Russian president visited Crimea to mark the anniversary of its annexation. …read more Source:...

  Kompany kuikosa Manchester United
  Mar17

  Kompany kuikosa Manchester United

  LONDON, England KOCHA wa timu ya Manchester City, Manuel Pellegrini, amethibitisha beki wa timu hiyo, Vicent Kompany, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na jeraha la goti alilopata kwenye mchezo uliochezwa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Dynamo Kiev. Kompany amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu kutokana na majeruhi ya...

  EU boosts humanitarian aid to Ukraine
  Mar16

  EU boosts humanitarian aid to Ukraine

  Brussels has announced a significant increase in humanitarian assistance to Ukraine since conflict erupted in 2014. EU’s crisis management chief said the aid will target “all vulnerable people affected by the conflict.” …read more Source:...

  Manchester City watua robofainali UEFA
  Mar16

  Manchester City watua robofainali UEFA

  Manchester City wamefika robofainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sare na Dynamo Kiev mechi ya marudiano. …read more Source:...

  MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA NA KUWEKA REKODI
  Mar16

  MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA NA KUWEKA REKODI

  Manchester City wamefanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Champions League kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sulusu kwenye mchezo wao wa marudiano dhidi ya Dynamo Kiev jana usiku. City ilishinda kwa bao 3-1 kwenye mchezo wa awali, walianza vyema mchezo huo lakini wakajikuta wakiwakosa walinzi wao nguzo wa kati Vincent Kompany na...

  Advocacy Groups: Sanctions, Arms Embargo, Tribunal Needed for S. Sudan
  Mar15

  Advocacy Groups: Sanctions, Arms Embargo, Tribunal Needed for S. Sudan

  War crimes, including killings, systematic rape, and forced disappearances remain daily occurrences in South Sudan, as highlighted in reports this month from the United Nations, Amnesty International and Human Rights Watch. Some advocacy groups say sanctions and other targeted measures could make an impact where a peace deal has failed. The...

  Pin It on Pinterest