: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Two years after Crimea annexation, NATO chief urges continued sanctions on Russia
  Mar18

  Two years after Crimea annexation, NATO chief urges continued sanctions on Russia

  NATO’s head has called for Washington and Brussels to continue sanctioning Russia in a bid to end conflict in Ukraine. His comments come as the Russian president visited Crimea to mark the anniversary of its annexation. …read more Source:...

  Kompany kuikosa Manchester United
  Mar17

  Kompany kuikosa Manchester United

  LONDON, England KOCHA wa timu ya Manchester City, Manuel Pellegrini, amethibitisha beki wa timu hiyo, Vicent Kompany, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na jeraha la goti alilopata kwenye mchezo uliochezwa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Dynamo Kiev. Kompany amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu kutokana na majeruhi ya...

  EU boosts humanitarian aid to Ukraine
  Mar16

  EU boosts humanitarian aid to Ukraine

  Brussels has announced a significant increase in humanitarian assistance to Ukraine since conflict erupted in 2014. EU’s crisis management chief said the aid will target “all vulnerable people affected by the conflict.” …read more Source:...

  Manchester City watua robofainali UEFA
  Mar16

  Manchester City watua robofainali UEFA

  Manchester City wamefika robofainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sare na Dynamo Kiev mechi ya marudiano. …read more Source:...

  MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA NA KUWEKA REKODI
  Mar16

  MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA NA KUWEKA REKODI

  Manchester City wamefanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Champions League kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sulusu kwenye mchezo wao wa marudiano dhidi ya Dynamo Kiev jana usiku. City ilishinda kwa bao 3-1 kwenye mchezo wa awali, walianza vyema mchezo huo lakini wakajikuta wakiwakosa walinzi wao nguzo wa kati Vincent Kompany na...

  Advocacy Groups: Sanctions, Arms Embargo, Tribunal Needed for S. Sudan
  Mar15

  Advocacy Groups: Sanctions, Arms Embargo, Tribunal Needed for S. Sudan

  War crimes, including killings, systematic rape, and forced disappearances remain daily occurrences in South Sudan, as highlighted in reports this month from the United Nations, Amnesty International and Human Rights Watch. Some advocacy groups say sanctions and other targeted measures could make an impact where a peace deal has failed. The...

  Manchester City kukabili Kiev UEFA
  Mar15

  Manchester City kukabili Kiev UEFA

  Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea tena leo Jumanne kwa Michezo Miwili. …read more Source:...

  Man City kumalizana na Dynamo Kyiv leo
  Mar15

  Man City kumalizana na Dynamo Kyiv leo

  MANCHESTER, ENGLAND MASHABIKI wa klabu ya Manchester City leo wanasubiri kwa hamu kuiona timu yao ikiingia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Leo klabu hiyo itakuwa kwenye Uwanja wa Etihad na kuwakaribisha wapinzani wao Daynamo Kyiv, huku City ikiwa na uhakika wa kusonga mbele. Kutokana na ubora wa Man City ni wazi kwamba ina kazi...

  Champions League: Messi, Aguero, Griezmann na Dybala wanaziwinda rekodi hizi ulaya.
  Mar15

  Champions League: Messi, Aguero, Griezmann na Dybala wanaziwinda rekodi hizi ulaya.

  Usiku wa michuano ya UEFA Champions League unarejea tena leo usiku na kesho jumatano, katika kukamilisha ratiba ya raundi ya 16 bora na kuamua ni timu zipi zitaungana na Real Madrid, Benfica, PSG na Wolfsburg katika hatua ya robo fainali ya UCL. Je Lionel Messi atafanikiwa kuifunga Arsenal na kuweka rekodi mpya ya magoli tangu alipoanza kucheza...

  Kenya yawekwa katika darubini na IAAF
  Mar12

  Kenya yawekwa katika darubini na IAAF

  Mkutano wa kamati kuu ya shirikisho la mchezo wa riadha duniani IAAF ambayo imekuwa ikikutana mjini Monaco imetangaza kuwa Kenya na Ukraine ni miongoni mwa nchi ambazo zimewekwa katika orodha ya mataifa ambayo yanachunguzwa …read more Source:...

  Pin It on Pinterest