: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Ujerumani waikwanyua Ukraine 2-0
  Jun13

  Ujerumani waikwanyua Ukraine 2-0

  Ikicheza kwa kujiamini, huku ikitawala mchezo kati yake na Ukraine, timu ya soka ya Ujerumani imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 ukiwa ni mchezo wake wa kwanza kwenye michuano ya mataifa ya Ulaya (Euro) …read more Source:...

  VIDEO: Ujerumani wameanza kwa ushindi Euro 2016 dhidi ya Ukraine
  Jun13

  VIDEO: Ujerumani wameanza kwa ushindi Euro 2016 dhidi ya Ukraine

  Bado michano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama UEFA Euro 2016, imeendelea tena leo June 12 Ufaransa kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja mbalimbali, mchezo wa mwisho kuchezwa kati ya Ujerumani dhidi ya Ukraine ndio mchezo uliokuwa unatarajiwa kutazamwa na mashabiki wengi. Ujerumani ambao walicheza mchezo wao kwanza wa Euro 2016 walifanikiwa...

  PICHA 10: MASHABIKI WA UJERUMANI HUWAAMBII KITU KUELEKEA MECHI DHIDI YA UKRAINE
  Jun12

  PICHA 10: MASHABIKI WA UJERUMANI HUWAAMBII KITU KUELEKEA MECHI DHIDI YA UKRAINE

  Mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani wameujaza mji Lille wakisubiri kushuhudia pambano kati ya timu yao ya Ujerumani dhidi ya Ukraine mchezo utakaosukumwa kwenye uwanja wa Stade Pierre Mauroy. Tayari nipo hapa kwenye mitaa ya jiji la Lille saizi nikiwa nazunguka hapa na pale nikisubiri muda uwadie ili niweze kuingia uwanjani kwa ajili ya...

  Ukraine holds peaceful gay pride rally in Kyiv
  Jun12

  Ukraine holds peaceful gay pride rally in Kyiv

  A gay pride march in Kyiv has passed largely without incident. That in itself is progress as Ukraine, one of Europe’s most homophobic countries, continues to change its attitudes since Maidan started in 2014. …read more Source:...

  German citizens who fought with ‘IS’ under surveillance in Euro 2016
  Jun12

  German citizens who fought with ‘IS’ under surveillance in Euro 2016

  Some 500 Germans who have fought with terrorist group “Islamic State” are under surveillance during the Euro 2016 soccer championship. Germany kicks off its Group C campaign against Ukraine in Lille on Sunday. …read more Source:...

  Crimea honors Russian soldiers with statue
  Jun12

  Crimea honors Russian soldiers with statue

  Crimean officials have unveiled a statue of an armed soldier in celebration of Russian troops that took control of the peninsula from Ukraine. Governor Sergey Aksyonov pledged to keep developing the troops’ “brand.” …read more Source:...

  Thousands protest armed OSCE mission in eastern Ukraine
  Jun10

  Thousands protest armed OSCE mission in eastern Ukraine

  Russia has agreed to allowing armed OSCE monitors at specific sites in conflict-hit eastern Ukraine. But in the rebel stronghold Donetsk, protesters vowed to protect themselves. …read more Source:...

  Aliyepanga kushambulia mechi akamatwa Ukrain
  Jun06

  Aliyepanga kushambulia mechi akamatwa Ukrain

  Wapelelezi nchini Ukraine wanamzuilia raia mmoja wa Ufaransa, anayesemekana alikuwa akipanga mashambulizi mjini Paris. …read more Source:...

  BELLERIN ANASTAHILI PONGEZI KWA KUFANIKIWA KUINGIA KIKOSI CHA SPAIN
  Jun06

  BELLERIN ANASTAHILI PONGEZI KWA KUFANIKIWA KUINGIA KIKOSI CHA SPAIN

  Naseem Kajuna Juni 13 inaweza kuwa siku kubwa sana kwa kijana Hector Bellerin, siku hii Spain watacheza dhidi ya Czech Republic kwenye michuano ya Euro 2016, na inawezekana kwamba jina la Bellerin linaweza kuwa mojawapo litakaloandikwa kwenye kikosi cha Spain kitakachocheza mechi hii uwanjani Stadium de Toulouse. Kama maajabu vile siku inayofuata...

  ENGLAND YAPATA USHINDI WA KWANZA DHIDI YA URENO BAADA YA MIAKA 18 NA KUWEKA REKODI KADHAA
  Jun03

  ENGLAND YAPATA USHINDI WA KWANZA DHIDI YA URENO BAADA YA MIAKA 18 NA KUWEKA REKODI KADHAA

  England wamemaliza maandalizi yao kwa ajili ya Euro 2016 kwa ushindi mwembamba dhidi ya kikosi cha wachezaji 10 wa Ureno kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa usiku wa jana kwenye uwanja wa Wembley. Chris Smalling aliifungia England goli pekee la ushindi akiunganisha kwa kichwa krosi ya Raheem Sterling dakika nne kabla ya pambano...

  Pin It on Pinterest