: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  Journalist Pavel Sheremet’s murder shocks Ukraine
  Jul20

  Journalist Pavel Sheremet’s murder shocks Ukraine

  Russian Journalist Pavel Sheremet’s killing is one of Ukraine’s most politically-charged murders in years. He died when the car he was driving exploded. It is unclear if he was the intended target. …read more Source:...

  Shevchenko ateuliwa meneja Ukraine
  Jul16

  Shevchenko ateuliwa meneja Ukraine

  Ukraine imemteua mshambuliaji wa zamani wa AC Milan na Chelsea Andriy Shevchenko kuwa meneja mpya wa timu ya taifa. …read more Source:...

  ASEM summit overshadowed by Nice, Brexit, South China Sea row
  Jul15

  ASEM summit overshadowed by Nice, Brexit, South China Sea row

  The Asia-Europe Meeting has started in Mongolia amidst a terror attack in France, Brexit concerns and South China Sea tensions. German Chancellor Merkel also met with Russia’s Medvedev to discuss the Ukraine crisis. …read more Source:...

  Russia uses the law to put pressure on internet users
  Jul14

  Russia uses the law to put pressure on internet users

  More and more people in Russia are being given jail sentences for controversial posts on the internet. Simply questioning the annexation of Crimea is enough to lead to charges. Now, laws have been tightened once again. …read more Source:...

  Takwimu za mabao, idadi ya watazamaji Euro 2016
  Jul14

  Takwimu za mabao, idadi ya watazamaji Euro 2016

  MWANDISHI WETU NA MITANDAO, USIKU wa Juni 27 ulikuwa ni usiku mgumu zaidi kwa vituo vya runinga nchini Iceland vilivyokuwa havioneshi mchezo baina ya timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo dhidi ya England katika hatua ya 16 bora Euro, kwani ni watazamaji wachache mno waliofungulia vituo vyao hivyo na kuvitazama. Jumla ya mashabiki 150,000 wa Iceland...

  Merkel backs NATO build-up in eastern Europe
  Jul07

  Merkel backs NATO build-up in eastern Europe

  German Chancellor Angela Merkel has accused Russia of “unsettling” NATO-allies with its actions in Ukraine. In her speech before the parliament, the chancellor called for both “deterrence and dialogue” with Moscow. …read more Source:...

  MAN UNITED MJUENI MHIKITARYAN, MCHEZAJI ATAKAYEBADILISHA MASHAMBULIZI YENU
  Jul04

  MAN UNITED MJUENI MHIKITARYAN, MCHEZAJI ATAKAYEBADILISHA MASHAMBULIZI YENU

  Kwa habari zilizojitokeza hivi karibuni kwenye mtandao wa Borrusia Dortmund ni kwamba klabu hiyo imekubali dau la Man Utd kwa ajili ya mchezaji wao Henrikh Mkhitaryan na atajiunga na klabu hiyo msimu ujao.Japo Man United wao hawajatangaza rasmi usajili huu ila inaonekana kuwa Mourinho hatimaye kampata mchezaji huyu baada ya kutumu dau jipya la...

  #EURO 2016, 16 BORA : ITALY VS SPAIN…MARUDIO YA FAINALI YA MWAKA 2012
  Jun27

  #EURO 2016, 16 BORA : ITALY VS SPAIN…MARUDIO YA FAINALI YA MWAKA 2012

  Leo ni kama mtoto hatumwi dukani katika michuano ya Euro inayoendelea nchini Ufaransa wakati miamba miwili ya Italy na Uhispania itakapokuwa ikiumiza nyasi za uwanja wa Stade de France jijini Paris, mchezo utakaofanyika majira ya saa 1 za usiku. Timu hizi zimeingia katika hatua hii ya 16 bora zikiwa na pointi sawa lakini nafasi tofauti. Italy...

  Video: GOLI LA KUJIFUNGA LA NORTHERN IRELAND LAIPELEKA WALES ROBO FAINALI EURO 2016
  Jun25

  Video: GOLI LA KUJIFUNGA LA NORTHERN IRELAND LAIPELEKA WALES ROBO FAINALI EURO 2016

  Wales wametinga hatua ya robo fainali ya Euro 2016 kwa goli la kujifunga la Gareth McAuley wakati wa mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Ireland ya Kaskazini. Ireland ya Kaskazini waliwadhibiti wapinzani wao kwa mchezo wao wa kujilinda huku wakifanikiwa kupiga mashuti mawili pekee yaliyo lenga goli katika kipindi cha kwanza. Lakini safu yao ya...

  TIMU BORA YA HATUA YA MAKUNDI EURO 2016
  Jun23

  TIMU BORA YA HATUA YA MAKUNDI EURO 2016

  Na Naseem Kajuna Hatua ya makundi ya Euro 2016 sasa imekwisha na timu 16 pekee zimebaki kwenye mashindano. Timu ya Wales ilishangaza wengi pale ilipoongoza kundi lake hasa ukizingatia kwamba hii ilikuwa michuano yao ya kwanza ya Euro. Croatia nao walizidi kupata nguvu kadri michuano ilivyoendelea walicheza mechi nzuri zaidi kwenye michuano hii...

  Pin It on Pinterest