: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  GAME YETU NA POLAND ITATOA MWELEKEO WA KUNDI C-LOW
  Jun13

  GAME YETU NA POLAND ITATOA MWELEKEO WA KUNDI C-LOW

  Mara baada ya mchezo wa Ujerumani dhidi ya Ukraine, kocha wa Ujerumani Jochim Low amewaambia waandishi wa habari kwamba, haikuwa rahisi kupata ushindi dhidi ya Ukraine yenye safu ngumu ya ulinzi lakini walifanikiwa kufanya hivyo Low pia ameutaja mchezo wa Alhamisi kati ya Ujerumani dhidi Poland ndiyo utaamua msimamo wa kundi nani anaongoza na...

  GAME YETU NA POLAND ITATOA MWELEKEO WA KUNDI C

  UJERUMANI YAANZA KWA USHINDI NA KUENDELEZA REKODI YA KIBABE ULAYA
  Jun13

  UJERUMANI YAANZA KWA USHINDI NA KUENDELEZA REKODI YA KIBABE ULAYA

  Mabingwa wa dunia timu ya taifa ya Ujerumani wameanza michuano ya Ulaya kwa rekodi kwa kuinyuka Ukraine. Ukiachilia mbali kiwango cha juu kilichooneshwa na Toni Kroos na goli la mapema la kichwa lililofungwa na Shkodran Mustafi, bado safu yao ya ulinzi ilifanya makosa mara kadhaa. Jerome Boateng aliokoa mpira kwenye mstari wakati golikipa wa...

  Ujerumani waikwanyua Ukraine 2-0
  Jun13

  Ujerumani waikwanyua Ukraine 2-0

  Ikicheza kwa kujiamini, huku ikitawala mchezo kati yake na Ukraine, timu ya soka ya Ujerumani imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 ukiwa ni mchezo wake wa kwanza kwenye michuano ya mataifa ya Ulaya (Euro) …read more Source:...

  VIDEO: Ujerumani wameanza kwa ushindi Euro 2016 dhidi ya Ukraine
  Jun13

  VIDEO: Ujerumani wameanza kwa ushindi Euro 2016 dhidi ya Ukraine

  Bado michano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama UEFA Euro 2016, imeendelea tena leo June 12 Ufaransa kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja mbalimbali, mchezo wa mwisho kuchezwa kati ya Ujerumani dhidi ya Ukraine ndio mchezo uliokuwa unatarajiwa kutazamwa na mashabiki wengi. Ujerumani ambao walicheza mchezo wao kwanza wa Euro 2016 walifanikiwa...

  PICHA 10: MASHABIKI WA UJERUMANI HUWAAMBII KITU KUELEKEA MECHI DHIDI YA UKRAINE
  Jun12

  PICHA 10: MASHABIKI WA UJERUMANI HUWAAMBII KITU KUELEKEA MECHI DHIDI YA UKRAINE

  Mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani wameujaza mji Lille wakisubiri kushuhudia pambano kati ya timu yao ya Ujerumani dhidi ya Ukraine mchezo utakaosukumwa kwenye uwanja wa Stade Pierre Mauroy. Tayari nipo hapa kwenye mitaa ya jiji la Lille saizi nikiwa nazunguka hapa na pale nikisubiri muda uwadie ili niweze kuingia uwanjani kwa ajili ya...

  Ukraine holds peaceful gay pride rally in Kyiv
  Jun12

  Ukraine holds peaceful gay pride rally in Kyiv

  A gay pride march in Kyiv has passed largely without incident. That in itself is progress as Ukraine, one of Europe’s most homophobic countries, continues to change its attitudes since Maidan started in 2014. …read more Source:...

  German citizens who fought with ‘IS’ under surveillance in Euro 2016
  Jun12

  German citizens who fought with ‘IS’ under surveillance in Euro 2016

  Some 500 Germans who have fought with terrorist group “Islamic State” are under surveillance during the Euro 2016 soccer championship. Germany kicks off its Group C campaign against Ukraine in Lille on Sunday. …read more Source:...

  Crimea honors Russian soldiers with statue
  Jun12

  Crimea honors Russian soldiers with statue

  Crimean officials have unveiled a statue of an armed soldier in celebration of Russian troops that took control of the peninsula from Ukraine. Governor Sergey Aksyonov pledged to keep developing the troops’ “brand.” …read more Source:...

  Thousands protest armed OSCE mission in eastern Ukraine
  Jun10

  Thousands protest armed OSCE mission in eastern Ukraine

  Russia has agreed to allowing armed OSCE monitors at specific sites in conflict-hit eastern Ukraine. But in the rebel stronghold Donetsk, protesters vowed to protect themselves. …read more Source:...

  Pin It on Pinterest