: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

  TIMU BORA YA HATUA YA MAKUNDI EURO 2016
  Jun23

  TIMU BORA YA HATUA YA MAKUNDI EURO 2016

  Na Naseem Kajuna Hatua ya makundi ya Euro 2016 sasa imekwisha na timu 16 pekee zimebaki kwenye mashindano. Timu ya Wales ilishangaza wengi pale ilipoongoza kundi lake hasa ukizingatia kwamba hii ilikuwa michuano yao ya kwanza ya Euro. Croatia nao walizidi kupata nguvu kadri michuano ilivyoendelea walicheza mechi nzuri zaidi kwenye michuano hii...

  OSCE urges probe of Minsk peace treaty violations in eastern Ukraine
  Jun22

  OSCE urges probe of Minsk peace treaty violations in eastern Ukraine

  European monitoring group OSCE has called on Ukraine and Russia-backed separatists to do more to investigate violations of the ceasefire. The shaky ceasefire was brokered in Minsk last year. …read more Source:...

  Savchenko: ‘Ukraine is paying for Europe’s freedom’
  Jun22

  Savchenko: ‘Ukraine is paying for Europe’s freedom’

  Sanctions against Russia should be directed toward individuals, says Ukrainian fighter pilot and parliamentarian Nadiya Savchenko in a DW Interview during a visit to the Council of Europe in Strasbourg. …read more Source:...

  VIDEO: Magoli ya mechi za Kundi C Euro 2016, Poland na Ujerumani wameingia hatua ya mtoano
  Jun21

  VIDEO: Magoli ya mechi za Kundi C Euro 2016, Poland na Ujerumani wameingia hatua ya mtoano

  Euro 2016 imeendelea tena leo June 21 2016 kwa michezo miwili ya kuhitimisha Kundi C, Northern Ireland amecheza dhidi ya Ujerumani na kufungwa goli 1-0, wakati Ukraine walikubali kipigo cha goli 1-0 kutoka Poland, matokeo hayo yameifanya Poland na Ujerumani kutinga hatua ya mtoano. Goli la mechi ya Northern Ireland vs Ujerumani Goli la mechi ya...

  Germany through to final 16 after 1-0 win over Northern Ireland
  Jun21

  Germany through to final 16 after 1-0 win over Northern Ireland

  A first half goal from Mario Gomez was enough for Germany to ease past Northern Ireland with a 1-0 win. Poland has also qualified from Group C with a 1-0 win over Ukraine. …read more Source:...

  EU to extend Russia economic sanctions for another six months
  Jun21

  EU to extend Russia economic sanctions for another six months

  European Union envoys have agreed to prolong their bloc’s economic sanctions against Russia for six months. The bans are aimed at curbing Russia’s influence in eastern Europe, particularly in Ukraine. …read more Source:...

  EU extends sanctions on Crimea for another year
  Jun17

  EU extends sanctions on Crimea for another year

  The European Union has extended for a year sanctions on Crimea, which Russia illegally annexed from Ukraine in 2014. Next week the bloc is set to vote on extending sanctions on Russia. …read more Source:...

  Ukraine takes offense at UN chief’s view of Russian role peace talks
  Jun17

  Ukraine takes offense at UN chief’s view of Russian role peace talks

  Ukraine has reacted strongly to remarks by the UN secretary-general that appeared to praise Russia in settling the conflict in eastern Ukraine. The Kyiv envoy said Ban Ki-moon could not be a “provider of good offices.” …read more Source:...

  MASTAA WA UJERUMANI WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA POLAND
  Jun17

  MASTAA WA UJERUMANI WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA POLAND

  Ujerumani na Poland wamecheza kwa mara ya kwanza mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana baada ya mchezo wao wa Euro 2016 kumalizika huku kila timu ikiwa imeshindwa kupata bao katika kupambana kufuzu hatua ya mtoano utoka kwenye makundi. Timu zote sasa zinapointi 4 huku zikiwa zimesaliwa na mechi moja mkononi ambao unawezeza kuwahakikishia...

  #EURO 2016 MATCH PREVIEW: UFARANSA VS ALBANIA
  Jun15

  #EURO 2016 MATCH PREVIEW: UFARANSA VS ALBANIA

  Didier Deschamps atakuwa kwenye mtihani mwingine leo kuhakikisha timu yake inashinda dhidi ya Albania ili kujihakikishia tiketi ya kwenda hatua ya mtoano. Mchezo huu wa raundi ya pili wa kundi A, utapigwa kunako dimba la Stade Velodrome majira ya saa 4 usiku. Ufaransa ilishinda kwa mbinde mchezo wake kwanza dhidi ya Romania, shukrani za dhati...

  Pin It on Pinterest